Kuwa Smati Jisevie Popote Ulipo


Kuwa smati jisevie popote ulipo

Miamala yako yote iko salama, lipia huduma na bidhaa mtandaoni kwa
haraka na urahisi. Wasiliana na benki yako kwa taarifa zaidi.
Faida za Kujisevia (kujihudumia).
● Usalama wako na pesa zako,
● Urahisi wa kufanya miamala popote ulipo, iwe kwa simu, card au
mtandao.
● Okoa muda kwa kujisevia haraka kwenye maduka mbalimbali,
migawana na mtandaoni.
● Mtandao mkubwa wa maduka, migahawa na sehemu mbalimbali
za biashara zinazo pokea malipo kwa njia ya card, simu na
mtandao.

FAQs

● Kua smati ni nini? - Kufanya mambo kisasa zaidi, kwa kutumia njia
mbali mbali za kidigitali. Ikiwemo kufanya malipo kwa njia ya simu,
kadi, mtandao na njia nyingine za kujihudumia.

● Jisevie ni nini? - Kujihudumia unapokua mahali tofauti tofauti kama
sherehe na manunuzi dukani, sokoni au mtandaoni kwa kuchagua
na kulijilipia moja kwa moja kwa njia ya kadi, simu au mtandao.

● Huduma hii inapatiana wapi? - Kote nchini, pamoja na nchi zingine
tofauti na tanzania. Kwa sasa imekua ni njia kubwa ya kufanya
malipo kote duniani kwani ni salama, haraka na rahisi kutumia.

● Napataje huduma hizi? - Watoa huduma mbali mbali yakiwemo
mabenki hutoa huduma hizi kwa wateja wao ili kuwarahisihia
kufanya manunuzi. Fika katika tawi lolote la bank yako au wasiliana
nao kwa namba za simu/barua pepe kwa maelezo zaidi na namna
ya kujiunga na wajanaja.