Kuwa smati jisevie popote ulipo Miamala yako yote iko salama, lipia huduma na bidhaa mtandaoni kwa haraka na urahisi. Wasiliana na benki yako kwa taarifa zaidi. 

Faida za Kujisevia (kujihudumia). 

   • Usalama wako na pesa zako, 
   • Urahisi wa kufanya miamala popote ulipo, iwe kwa simu, card au mtandao. 
   • Okoa muda kwa kujisevia haraka kwenye maduka mbalimbali, migawana na mtandaoni. 
   • Mtandao mkubwa wa maduka, migahawa na sehemu mbalimbali za biashara zinazo pokea malipo kwa njia ya card, simu na mtandao.

 

FAQs

   •  Kua smati ni nini? - Kufanya mambo kisasa zaidi, kwa kutumia njia mbali mbali za kidigitali. Ikiwemo kufanya malipo kwa njia ya simu, kadi, mtandao na njia nyingine za kujihudumia. 
   • Jisevie ni nini? - Kujihudumia unapokua mahali tofauti tofauti kama sherehe na manunuzi dukani, sokoni au mtandaoni kwa kuchagua na kulijilipia moja kwa moja kwa njia ya kadi, simu au mtandao. 
   • Huduma hii inapatiana wapi? - Kote nchini, pamoja na nchi zingine tofauti na tanzania. Kwa sasa imekua ni njia kubwa ya kufanya malipo kote duniani kwani ni salama, haraka na rahisi kutumia. 
   • Napataje huduma hizi? - Watoa huduma mbali mbali yakiwemo mabenki hutoa huduma hizi kwa wateja wao ili kuwarahisihia kufanya manunuzi. Fika katika tawi lolote la bank yako au wasiliana nao kwa namba za simu/barua pepe kwa maelezo zaidi na namna ya kujiunga na wajanaja. 
Follow Us on Social Media